Wakazi wa kijiji cha Loiborsoit A, wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wakipandisha mizinga kwenye miti kwa ajili ya ufugaji nyuki iliyotolewa kwa vikundi viwili vya wana-wake kwa ajili ya uzalishaji asali juzi.
PICHA: GIFT THADEY