Katibu Tawala wa mkoa wa Kaskazini A, Mariam Khamis, (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi duka la huduma kwa wateja  la Vodacom huko Zanzibar Nungwi. Uzinduzi huu ni hatua muhimu kwa jamii, kwani duka hilo litatoa huduma bora za mawasiliano na bidhaa.
Picha: Mpigapicha Wetu