Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis, akimkabidhi zawadi Bless Alexander, mhitimu wa programu ya Code Like A Girl, inayowezesha wasichana katika masomo ya STEM, ikifadhiliwa na Vodacom Tanzania na dLab. Hafla ilifanyika
Picha: Mpigapicha Wetu