Balozi wa kampeni ya Kijiditali ya Tap Tap Utoboe ya Exim Bank Tanzania, Idris Sultan (katikati) akitangaza washindi 10 wa droo ya pili ya mwezi yenye lengo la kuwahamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala yao ya malipo kwa kutumia simu za mkononi.
Picha: Mpigapicha Wetu