Umoja wa Wanawake wa CCM Wilaya ya Mbeya, wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Maryprisca Mahundi, walifanya maandamano ya amani Mbalizi kuelekea Hospitali ya Ifisi kuwaona wagonjwa kama sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
PICHA: NEBART MSOKWA