Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake, Uzazi na Upasuaji wa Fistula katika Hospitali ya CCBRT Dk. Peter Majinge (kushoto), akikata keki pamoja na mmoja wa akinamama wanaoendelea na matibabu ya fistula hospitalini hapo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
Picha: Mpigapicha Wetu