Afisa bima wa VodaBima, Hellen Masali, akiweka mafuta bure kwenye gari ya mteja Zacharia Regan jijini Mwanza, katika kampeni ya sikukuu ya Vodacom Tanzania PLC, ‘Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi,’ yenye lengo la kurejesha tabasamu kwa wateja.
Picha:Mpigapicha Wetu