Watembea kwa miguu wakivuka katika eneo lisilo rasmi, badala ya kutumia daraja la juu lililojengwa maalum kwaajili yao katika barabara ya Mandela, eneo la Buguruni,  jijini Dar es Salaam leo, kitendo ambacho ni hatari kwa usalama wao.
PICHA: JUMANNE JUMA