Mwakilishi wa Jubilee Life Insurance (wapili kushoto) akipokea tuzo ya Consumer Choice Awards 2024 kutoka kwa Mkurugenzi wa Absa, Obedi Laizer. Hafla hiyo, iliyoongozwa na Naibu Waziri Stanslaus Nyongo, ilifanyika Dar es Salaam.
Picha: Mauld Mmbaga