Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya mtandao na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kimataifa wa kusaidia Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund), Peter Sands, Ikulu, jijini Dar es Salaam leo.
Picha: Ikulu