Balozi wa taasisi ya WildAid, Nakaaya Sumari (kulia) akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa uhifadhi wa mazingira katika ofisi za TBC 2 jana, kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Daphrosa Kimbori.
PICHA: MPIGAPICHA WETU