Mshindi kutoka Benki ya Exim Tanzania wa kampeni ya ‘UEFA Priceless’ Manjeet Kaur Mair (wa pili kushoto) akipongezwa na Silas Matoi (wa pili kulia), Mkuu wa Idara ya Huduma Mbadala za Kidijitali wa Exim katika kampeni ya matumizi ya Exim Mastercard
Picha: Mpigapicha Wetu