Jeshi la Polisi Wilaya ya Mkuranga limemzuia Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu kwenda kufanya Mkutano wa hadhara Kata ya Kiparang'anda Kijiji cha Magoza, Mkuranga Mkoa wa Pwani kwa maelezo kuwa wameelezwa na Kamanda wa Polisi Wilaya (OCD) kuzuia mkutano huo.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED