HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), inatarajia kuanza tiba ya kibingwa ya upandikizaji ini, miezi michache ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema, hayo leo, jijini Dar es Salaam.
Prof. Janabi amesema kwamba MNH imeingia makubaliano na hospitali zingine mbalimbali duniani.
Amesema matayarisho kwa kushirikiana na wataalam wa nje na ndani yameanza, kwa kutoa huduma hiyo kwa kuwa miundombinu stahiki, vifaa tiba vya uchunguzi vipo.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED