Safari yangu ya mapambano dhidi ya kifua kikuu

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 08:46 PM Dec 04 2024
Safari yangu ya mapambano dhidi ya kifua kikuu
Picha:Mtandao
Safari yangu ya mapambano dhidi ya kifua kikuu

Licha ya juhudi za vyombo vya habari kusisitiza kuwa Kifua Kikuu (TB) ni ugonjwa unaotibika kwa urahisi, safari yangu ilikuwa tofauti kabisa.

Naitwa Dulla, na kwa miaka zaidi ya kumi nilifanya kazi katika mgodi wa dhahabu. Mazingira ya kazi migodini, hususan matumizi ya vifaa duni vya kinga, yalikuwa miongoni mwa sababu zilizochangia kuugua ugonjwa huu. Marafiki wengi pia walikumbwa na TB.

Mwanzoni, nilipuuzia kikohozi kisichoisha, nikiamini kuwa hali hiyo ni ya kawaida. Kadiri siku zilivyopita, hali yangu ilizidi kuwa mbaya, hadi nilipoamua kwenda hospitali. Nilipimwa na kugundulika kuwa na TB. Mara moja nilianza dozi na kuacha kazi mgodini kama ilivyoshauriwa na wataalamu wa afya.

Hata hivyo, baada ya miezi kadhaa ya kutumia dawa, hali yangu haikurudi kuwa ya kawaida. Nilipatiwa aina nyingine ya dawa, lakini bado sikupona kikamilifu. Hatua hiyo ilinipa msongo wa mawazo mkubwa.

Siku moja, nikiwa nimekaa kibarazani, nilifikiria kutafuta suluhisho kupitia mtandao. Katika harakati za kusoma na kutafuta, nilikutana na jina la Dk. Bokko kupitia mitandao ya kijamii. Niliwasiliana naye kwa kutumia namba yake +255618536050 na kumueleza kuhusu hali yangu.

Dk. Bokko alinipa matumaini akisema dawa zake za asili zimewasaidia watu wengi Afrika Mashariki. Nilifunga safari hadi ofisini kwake, ambako alinipokea vizuri na kunipatia tiba asilia. Kwa muda mfupi tangu nianze kutumia dawa hizo, hali yangu ya afya iliimarika kwa kiwango cha kushangaza.

Leo hii, nashukuru kusema kuwa nimepona kabisa. Ninajutia kutokujua mapema kuhusu tiba hii, lakini nina furaha kwamba sasa naweza kuendelea na maisha yangu bila ugonjwa wa TB kunisumbua. Asante sana, Dr. Bokko, kwa kunikomboa.