NI nadra kusikia mtu ana zaidi ya miaka 100 lakini ana nguvu za kumwezesha kufanya kazi. Wakati mingi watu wa aina hiyo wanaonekana wamechoka, hawawezi kufanya jambo lolote. Ni watu wa kutolewa nje na kuingizwa ndani au vinginevyo.
Wakati mwingine wanaonekana mzigo kwa familia zinazowatunza kwa sababu hawwezi kufanya kitu chochote kutokana na umri wao hata jinsi walivyo, kwa ujumla wanakuwa tergemezi kwa kila kitu.
Hiyo ni tofauti na imewezekana kwa Esther Bamba, bibi mwenye umri wa miaka 124 ambaye bado ana nguvu na anafanya kazi.
“Nataka kuishi maisha marefu zaidi na yenye furaha,” anasema bibi huyo ambaye anaishi nchini Kenya lakini asili yake ni Tanzania alipohojiwa na jarida na ‘Afrique Femme’ mapema mwezi huu, akielezea alivyofikia umri huo akiwa na afya njema.
Bamba, mwanamke wa kiafrika, alizaliwa mwaka Nairobi mwaka 1901. Ameishi maisha yake nyakati za vita vya kwanza na vya pili vya dunia. Ameona makumi ya wanasiasa wakiwa katika uongozi. Anatajwa katika ‘Tanzanian Book of Record’ kuwa mtu mwenye umri mkubwa kuliko wote Afrika akiwa ametimiza miaka 124 Machi 14, 2025.
Amekuwa na utamaduni wa kwenda mara kwa mara kuangalia afya yake na hiyo inatajwa kuwa moja ya siri za kumfanya anendelee kuishi sasa. Hatua hiyo imewafanya hata madaktari kuweka bayana kwamba bado ana nguvu na anaweza kwenda hata mwezini (kwenye sayari hiyo) bila matatizo.
Ni mara chache amekuwa akiondoka nyumbani kwake kwenda mjini lakini muda mwingi amekuwa akigoma kufanya hivyo watoto wake wanapotaka akaishi mjini. Kama ilivyo desturi ya kiafrika, mtu anapofikia umri mkubwa hata zaidi ya miaka 70, watoto wamekuwa wakitaka kuishi naye karibu ili kupata huduma stahiki lakini kwake imekuwa tofauti.
Bibi huyo anayeishi katika nyumba iliyojengwa kiasili kwa mbao kijijini, iliyojengwa na mumewe ambaye ni marehemu nje ya Nairobi, ana shamba analolitumia kulima mboga na matunda kila mwaka. Pia anafuga kuku na mbuzi wa maziwa aliyempa jina la Molly. Licha ya umri mkubwa kiasi hicho, anafanya vitu vyote hivyo kwa mikono yake.
Waandishi wa habari wa jarida la Afrique Femme walipofika nyumbani kwake kwa ajili ya kumhoji, aliwaandalia chai mwenyewe. Hali hiyo iliwafanya wanahabari hao kupata picha kwamba bibi huyo ana vitu vya ziada kuliko hata mtu mwenye umri mdogo na ana nguvu za kufanya kazi.
Alipoulizwa nini siri ya kuwa na umri mkubwa huku akiwa na afya njema, alianza kwa kuwajibu kwa utani kwamba: “Kila mtu (mwanahabari) akija ananiuliza swali hilo hilo. Siri kubwa ni kuwa na mishipa safu ya damu. Hivyo ndivyo rafiki yangu Juan alivyoniambia kabla ya vita (vya dunia).
“Juan aliishi hapa na alikuwa mganga wa tiba asilia. Kila mmoja alikuwa anaomba ushauri kwake kuhusu afya na wengi walitoka vijijini. Hata hivyo, alichukuliwa na kupelekwa jeshini kwa ajili ya vita na hakurudi tena.
“Tulikuwa majirani na alikuwa akija mchana kwa ajili ya kupata chai na kuzungumza mambo kadhaa na kubwa zaidi alikuwa akitushauri namna bora ya kujiweka sawa kimwili hasa katika viungo mbalimbali.
“Ushauri wake huo ulitusaidia sana. Nilikuwa na mdogo wangu aliyekuwa na tatizo la moyo na alipata ahueni na kurudi katika hali yake baada ya wazazi wangu kumsaidia kusafisha mishipa ya damu. Tangu hapo tumekuwa tukishawishika familia nzima kusafisha mishipa ya damu mara kwa mara ili kuwa katika afya bora,” anasema.
Hata hivyo, anasema wazazi wao walifariki dunia mwaka 1987 katika ajali mbaya ya gari. Anakiri kwamba dada yake pia aliishi miaka mingi na alifariki dunia akiwa na miaka 95. Kutokana na kutambua hilo, aliwasisitiza watoto wake kuhusu umuhimu wa kusafisha mishipa ya damu.
“Kwa hiyo siri kubwa ya kuishi maisha marefu iko kwenye mishipa ya damu ambayo inasaidia mapigo ya moyo kuwa salama. Kwa mantiki hiyo, mishipa ya damu inatakiwa kuwa safi wakati wote.
“Lakini kwa sababu watu wengi hawafanyi hivyo, wakakufa mapema hasa wale wanaoishi mijini. Wanapenda kutumia dawa mara kwa mara wakidhani kwamba zitawasaidia.
Nilipomtembelea mjukuu wangu Kampala (Uganda) nilishangaa sana. Watu wana miaka 60 lakini wanaumwa. Kama wangesafisha mishipa yao ya damu wangekuwa na afya nzuri kama nilivyo mimi,” anasema.
HAWAJACHELEWA
Alipulizwa kama mtu ambaye ni mgonjwa anaweza kusafisha mishipa hiyo na kuwa na afya nzuri, anasema hilo linawezekana na hajachelewa. Anasema mtu anapofanya hivyo, damu inatembea katika mishipa na kuwezesha viungo vingine kuwa katika hali nzuri kiafya.
“Mishipa ya damu inapokuwa na uchafu, damu pia inakuwa na uchafu ambao huziba mishipa na haitembei jambo ambalo linasababisha moyo kushindwa kusukuma damu kwa ufanisi na hapo ndipo magonjwa yanapoingia mwilini.
“Viungo vya ndani ya mwili vinakuwa dhaifu kwa sababu havipati damu ya kutosha, ndipo yanapoibuka magonjwa yakiwamo sugu kama maradhi ya figo, tumbo, kongosho na ini vyote vinaathirika kwa sababu ya kutokufikiwa na damu ya kutosha. Hata ubongo pia inaingia kwenye matatizo,” anasema.
Anakumbuka na kusimulia kisa cha mwanamke aliyemwandikia barua miaka mingi iliyopita ambaye mumewe alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu na pengine maradhi ya moyo. Kutokana na hali hiyo, madaktari walibashiri kuwa mwisho wa maisha yake umefika na kumshauri aanze kuandaa mazishi yake.
“Aliniandikia hivyo akijua huenda nina siri au jambo la kumshauri. Nilichomshauri ni kusafisha mishipa ya damu. Hiyo ndiyo siri pekee na ndicho alichofanya. Miaka 10 imepita tangu wakati huo.
“Mume wake bado anaishi akiwa na afya njema na hana tena shinikizo la damu na leo (wakati anahojiwa) wamenipigia simu kunipongeza kwa siku yangu ya kuzaliwa,” anabainisha huku akisema kuna simulizi nyingi za aina hiyo za watu aliowashauri na sasa wanaendelea kuishi wakiwa na afya njema licha ya kwamba umri wao umesonga.
ANAVYOSAFISHA MISHIPA
Katika kusafisha mishipa, anasema halazimiki kwenda hospitalini bali anafanya mwenyewe kwa kutumia virutubisho na dawa za asili ambazo zimefanyiwa utafiti wa kisayansi.
“Nilichukua miti dawa kutoka msituni na porini kisha kuandaa. Wakati huo nilikuwa na nguvu. Nilikwenda msituni na maeneo mengine porini kuzitafuta na kuandaa kila nilichokihitaji hatimaye kuzikausha na kuzisaga.
“Nilisafisha mishipa yangu ya damu kila baada ya miaka miwili. Kwa sasa sifanyi hivyo kwa sababu nguvu za kufanya hivyo sina. Nilifanya hivyo kwa mara ya mwisho miaka 15 iliyopita.
“Baada ya hapo, binti yangu mkubwa anayeishi Ujerumani alinitumia virutubisho alivyonunua kwa bei ya punguzo ambavyo natumia sasa kusafisha mishipa ya damu. Bidhaa hii ninayotumia kwa sasa ina uwezo mkubwa kuliko zile za asili nilizokuwa natumia zamani,” anasema huku akitaja dawa inayomsaidia kuwa hivyo kuwa ni PROcardio.
NI SAHIHI?
Afrique Femme ilifanya jitihada kumtafuta mtaalamu wa masuala ya moyo kujua kama kirutubisho hicho kina uwezo wa kusafisha mishipa ya damu kama Bibi Esther Bamba alivyosema na namna inavyofanya.
Jitihaa hizo zilifanikiwa kumpata daktari bingwa na mwanazuoni wa masuala ya moyo kutoka Chuo Kikuu cha Hamburg, Prof. Johannes Neumann, ambaye alithibitisha kuwa kina uwezo wa kusafisha mishipa kama alivyoeleza bibi huyo.
“Pamoja na kutumia virutubisho kama hivyo, kusafisha mishipa ya damu si tu kunasaidia kuongeza umRi wa kuishi bali inaimarisha afya ya binadamu. Mishipa ya damu inapokuwa imezibwa na lehemu kutokana na matumizi makubwa ya vyakula vyenye mafuta ni hatari kwa afya ya binadamu.
“Ni muhimu sana kusafisha mishipa ya damu ili kujiepusha na maradhi mbalimbali ambayo huathiri afya ya mtu na kupunguza umri wa kuishi. Kwa kufanya hivyo, moyo utakuwa na uwezo wa kusukuma damu sehemu mbalimbali za mwili, hivyo kuimarisha afya ya mwili,” anasisitiza.
Virutubiho hivyo vinavyotumika kusafisha mishipa, vina vitamini E inayoitwa ‘alpha-tocopherol’ ambayo ina uwezo wa kuingia na kufika kwenye mishipa ilivyoathiriwa na mafuta na kuzibwa hatimaye kushindwa kufanya kazi. Hatua hiyo pia husaidia mishipa iliyo na mafuta kusafishwa pamoja na damu iliyoganda.
Utafiti unabainisha kwamba kusafisha mishipa kumesaidia asilimia 96 ya watu walio katika hali hiyo kurudi katika afya njema, hivyo kuwa na uhakika wa maisha marefu na yenye afya njema.
Kwa mujibu wa utafiti huo, kwa kutumia virutubisho vya aina hiyo, shinikizo la damu linapungua na mapigo ya moyo kuwa katika hali ya kawaida, moyo kufanya kazi yake ipasavyo, maumivu ya kichwa hutoweka, uoni huimarishwa, magonjwa sugu yanadhibitika na afya kwa ujumla huimarika.
Virutubisho hivyo vinaelezwa kuwa vimetokana na miti kwa asilimia 100 vikiwa na vitamini, vidhibiti sumu na vitamini muhimu kwa kuimarisha moyo (potasiamu na kalsiamu).
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED