Jumatatu Mei 12, 2025
  • The Guardian |
  • Nipashe |
  • Nipashe Jumapili
ePaper
icon user
Ingia
  • ad
  • home-icon
  • Home
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Biashara
  • Michezo
    • Soka
  • Makala
  • Maoni
    • Maoni Ya Mhariri
    • Katuni
  • Maktaba
  • ePaper
  • icon user Ingia
Clear X

Habari

  • Kitaifa
  • Kimataifa

Biashara

Michezo

  • Soka

Makala

Maoni

  • Maoni Ya Mhariri
  • Katuni

Editions

  • The Guardian
  • Nipashe
  • Nipashe Jumapili
ad
logo
  • Home
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Biashara
  • Michezo
    • Soka
  • Makala
  • Maoni
    • Maoni Ya Mhariri
    • Katuni
  • Maktaba
  • Editions

  • The Guardian
  • Nipashe
  • Nipashe Jumapili
  1. Nipashe Jumapili
  2. Habari
  3. Kitaifa

Dk. Tulia azindua mradi wa kuunganisha umeme vitongoji 105 Mbeya

By Mwandishi Wetu , Nipashe Jumapili
Published at 01:50 PM May 11 2025
Created by Codegena.
Dk. Tulia azindua mradi wa kuunganisha umeme vitongoji 105 Mbeya

Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekabidhiwa rasmi jukumu la kutekeleza mradi wa kuunganisha umeme katika vitongoji 105 vya Mkoa wa Mbeya.

 Mradi huo una thamani ya shilingi bilioni 10.9 na unatekelezwa kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ambapo unatarajiwa kunufaisha takribani wateja 3,465.

Makabidhiano rasmi ya mradi huo yalifanyika katika Kata ya Igawilo, jijini Mbeya, mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dk. Tulia Akson.

Habari Kuu

Mahakama yamuhukumu kifungo cha nje baba aliyeua mwanaye
Hapi: Vijana zungumzeni mazuri yaliyofanywa na Serikali
NHC Morogoro yataka wapangaji kupisha jengo kwa hiyari kufanyika matengenezo
Wakazi Banana Kitunda, Msongola, Majohe Njia Nne, mmefikiwa
Trump akosolewa kuchapisha picha aliyovalia kama Papa
Wenyeviti wa vijiji 92 wapewa baiskeli za ufuatiliaji miradi
Viongozi wa dini washauriwa kujiepusha na siasa
Majaliwa: Rais Samia ametuheshimisha Ruangwa
Serikali yakabidhi vifaa vya kisasa utafiti wa maji chini ya ardhi
Mbunge Vita Kawawa akabidhi vifaatiba vyenye thamani ya Sh milioni 14.9

Trending stories

  • Categories
  • Entire Website
Mguu wa mwanafunzi aliyeng'atwa na nyoka wakati akilima shamba la mwalimu.

Mwanafunzi aliyeng’atwa na nyoka atoka hospitalini

31 Mar 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Makonda apewa 'kibarua' kwa Mrombo Arusha

09 Apr 2024
MBUNGE wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka.

Ole Sendeka anusurika kifo, afunguka alivyokwepa risasi

31 Mar 2024
 Bharat Nathwani na mke wake Sangita.

Kesi ya wanandoa kujeruhi Dar kusikilizwa Feb 9

18 Jan 2024
Waiamu wakifuturu wakati wa mfungo wa Ramadhani.

Mzee wa kanisa afuturisha Waislamu

31 Mar 2024
Mguu wa mwanafunzi aliyeng'atwa na nyoka wakati akilima shamba la mwalimu.

Mwanafunzi aliyeng’atwa na nyoka atoka hospitalini

31 Mar 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Makonda apewa 'kibarua' kwa Mrombo Arusha

09 Apr 2024
MBUNGE wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka.

Ole Sendeka anusurika kifo, afunguka alivyokwepa risasi

31 Mar 2024
 Bharat Nathwani na mke wake Sangita.

Kesi ya wanandoa kujeruhi Dar kusikilizwa Feb 9

18 Jan 2024

Habari zinazohusiana

Dk. Tulia azindua mradi wa kuunganisha umeme vitongoji 105 Mbeya

Dk. Tulia azindua mradi wa kuunganisha umeme vitongoji 105 Mbeya

18h ago
Alama ya hukumu

Mahakama yamuhukumu kifungo cha nje baba aliyeua mwanaye

19h ago
Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje

Wenje awakataa G55, ashangaa kuhusishwa nao

20h ago
Waziri wa Maji Juma Aweso akikabidhi vifaa vya utafiti wa maji.

Serikali yakabidhi vifaa vya kisasa utafiti wa maji chini ya ardhi

21h ago
Rais wa Urusi, Vladimir Putin

Putin atoa wito wa 'mazungumzo ya moja kwa moja' na Ukraine

21h ago
Mbunge Vita Kawawa akifungua Zahanati ya kijiji cha Luhangano Namtumbo

Mbunge Vita Kawawa akabidhi vifaatiba vyenye thamani ya Sh milioni 14.9

22h ago
Mkurugenzi Mkuu wa NDC, Dk. Nicolaus Shombe akibadilishana mkataba na Mkurugenzi wa Kampuni ya Labiofam, Julio Gonzallez wa Cuba.

Tanzania, Cuba zasaini mkataba kuhamisha teknolojia, utengenezaji viuatilifu

04 May 2025
Mgombea Urais kupitia Chama cha Allience For Africa Farmers Party(AAFP) , Kunje Ngombale Mwiru akizungumza na waandishi.

Kunje Mwiru: Amani ndio msingi wa maendeleo

04 May 2025
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa

Majaliwa: Rais Samia ametuheshimisha Ruangwa

04 May 2025

Picha

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, jijini Dodoma jana.
Kitaifa

Mkutano Mkuu Maalum wa CCM katika picha

19 Jan 2025
Meneja wa Rapt Camera, Madhu Nair ( wa pili kulia), akitoa maelezo kuhusu vifaa anavyouza vya umeme ikimo machine za kuchaka juice, katika Maonyesho ya 48 ya Biashara  ya Kimataifa Dar as Salaam ( DITF), viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa jana
Kitaifa

Mashine ya kuchakata sharubati

07 Jul 2024
Askofu Mkuu Isaack Aman wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha akiongoza ibada yakuuagwa kwa miili tisa,nane ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji akitoa baraka katika miili hiyo kwa ajili ya maziko.
Kitaifa

Matukio tofauti miili tisa ya wanafunzi wa Shule ya Ghati Memorial ikiagwa Arusha

14 Apr 2024

Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche
Kitaifa

CHADEMA ikishika dola, hakuna kijana atakaye betting, mtakuwa kwenye viwanda

30 Mar 2025
Wasira ammwagiwa sifa kedekede.
Kitaifa

Makamba ammwagia sifa kedekede Wasira

19 Jan 2025
Waziri wa Ardhi, Nyumbani na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi.
Kitaifa

Uteuzi wa Stephen Wasira wapata baraka za wajumbe wa CCM

19 Jan 2025
Logo

About

About Us
Terms and Conditions
Advertise with Us
Contact Us

FOLLOWS US ON

Habari

  • Kitaifa
  • Kimataifa

Biashara

Michezo

  • Soka

Makala

Maoni

  • Maoni Ya Mhariri
  • Katuni

Siasa

  • Kitaifa
  • Kimataifa

Editions

  • The Guardian
  • Nipashe
  • Nipashe Jumapili

Our networking

  • ITV -
  • Radio One -
  • East Africa Television -
  • East Africa Radio -
  • CAPITAL TV -
  • CAPITAL RADIO

© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED