Jumanne Desemba 16, 2025
  • The Guardian |
  • Nipashe |
  • Nipashe Jumapili
ePaper
icon user
Ingia
  • ad
  • home-icon
  • Home
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Biashara
  • Michezo
    • Soka
  • Makala
  • Maoni
    • Maoni Ya Mhariri
    • Katuni
  • Maktaba
  • ePaper
  • icon user Ingia
Clear X

Habari

  • Kitaifa
  • Kimataifa

Biashara

Michezo

  • Soka

Makala

Maoni

  • Maoni Ya Mhariri
  • Katuni

Editions

  • The Guardian
  • Nipashe
  • Nipashe Jumapili
ad
logo
  • Home
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Biashara
  • Michezo
    • Soka
  • Makala
  • Maoni
    • Maoni Ya Mhariri
    • Katuni
  • Maktaba
  • Editions

  • The Guardian
  • Nipashe
  • Nipashe Jumapili
  1. Nipashe Jumapili
  2. Habari
  3. Kitaifa

Wenye ukoma wawezeshwa mbolea kuongeza uzalishaji mazao

By Vitus Audax , Nipashe Jumapili
Published at 10:32 PM Feb 09 2025
Mwenyekiti wa kwaya hiyo, Richard Masanja.

Zaidi ya watu 10 wenye ukoma katika Kitongoji cha Kanoge, Kata ya Misheni, Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora wamepatiwa msaada wa mbolea kutoka kwa waimbaji wa Kwaya ya Skonge Moravian Gospel.

 Lengo la msaada huo ni kuboresha mazao yao na kuwawezesha kupata kipato kupitia kilimo.

Baada ya kukabidhi mbolea hiyo, wanakwaya hao pia walishiriki katika shughuli za kuweka mbolea kwenye mimea ya wakazi hao, ikiwemo mahindi yaliyokuwa yakikosa rutuba na kupoteza ubora wake.

Mwenyekiti wa kwaya hiyo, Richard Masanja, amesema kuwa safari yao hadi Kanoge ililenga kuwasaidia wakazi wa eneo hilo, ambalo lilianzishwa mwishoni mwa miaka ya 1950 kwa ajili ya kuhifadhi na kusaidia wenye ukoma, ili kuongeza tija katika kilimo chao na kuboresha maisha yao kiuchumi.

Kwa upande wao, wakazi wa kitongoji hicho, Kuzenza Masonga na Eva Nasoro, walitoa shukrani zao kwa wanakwaya hao, wakisema kuwa msaada huo utawasaidia kuongeza mavuno tofauti na awali, kwani mazao yao yalikuwa yakiharibika kutokana na uhaba wa rutuba.

Habari Kuu

Guterres: Tunapenda kuona Tanzania ikibaki na umoja, amani
Diwani wa Puni kuanza na kero sita zinawazowakabili wananchi
Diwani wa Puni awasihi bodaboda wasitumike kuivuruga amani ya nchi
Waziri Chande: Jitazameni mtaishi vipi na jamii
DC Ndemanga: Tulindeni amani, tuepuke kujihusisha na maandamano
Waziri Aweso ajichimbia Dar kutatua changamoto ya upungufu wa maji
Watano mbaroni kwa ulanguzi wa tiketi, kituo cha mabasi Magufuli
Ulega amsimamisha kigogo TEMESA ubadhirifu Sh bil 2.5
Tanzania yaibuka kidedea kwenye tuzo za Utalii Duniani
Tukio moto Mlima Hanang’ waibua kumbukizi za maafa ya maporomoko

Trending stories

  • Categories
  • Entire Website
Waiamu wakifuturu wakati wa mfungo wa Ramadhani.

Mzee wa kanisa afuturisha Waislamu

31 Mar 2024
Mguu wa mwanafunzi aliyeng'atwa na nyoka wakati akilima shamba la mwalimu.

Mwanafunzi aliyeng’atwa na nyoka atoka hospitalini

31 Mar 2024
MBUNGE wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka.

Ole Sendeka anusurika kifo, afunguka alivyokwepa risasi

31 Mar 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Makonda apewa 'kibarua' kwa Mrombo Arusha

09 Apr 2024
 Bharat Nathwani na mke wake Sangita.

Kesi ya wanandoa kujeruhi Dar kusikilizwa Feb 9

18 Jan 2024
Waiamu wakifuturu wakati wa mfungo wa Ramadhani.

Mzee wa kanisa afuturisha Waislamu

31 Mar 2024
Mguu wa mwanafunzi aliyeng'atwa na nyoka wakati akilima shamba la mwalimu.

Mwanafunzi aliyeng’atwa na nyoka atoka hospitalini

31 Mar 2024
MBUNGE wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka.

Ole Sendeka anusurika kifo, afunguka alivyokwepa risasi

31 Mar 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Makonda apewa 'kibarua' kwa Mrombo Arusha

09 Apr 2024

Habari zinazohusiana

Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tanzania (TAHLISO)  Geofrey Kiliba

Rais TAHLISO: Tuiombee nchi yetu amani iendelee kutawala

1d ago
Guterres: Tunapenda kuona Tanzania ikibaki na umoja, amani

Guterres: Tunapenda kuona Tanzania ikibaki na umoja, amani

1d ago
Wananchi wakimsikiliza Diwani wa Kata ya Puni, Jumanne Rajabu

Diwani wa Puni kuanza na kero sita zinawazowakabili wananchi

1d ago
Diwani wa Puni wilayani Shinyanga Mhandisi Jumanne Rajabu akitoa elimu kwa vijana wa bodaboda, Njiapanda ya Didia wilayani humo, wasitumike kuivuruga amani ya Tanzania

Diwani wa Puni awasihi bodaboda wasitumike kuivuruga amani ya nchi

1d ago
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande.

Waziri Chande: Jitazameni mtaishi vipi na jamii

1d ago
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Shaibu Ndemanga

DC Ndemanga: Tulindeni amani, tuepuke kujihusisha na maandamano

08 Dec 2025
Waziri Aweso ajichimbia Dar kutatua changamoto ya upungufu wa maji

Waziri Aweso ajichimbia Dar kutatua changamoto ya upungufu wa maji

07 Dec 2025
Watano mbaroni kwa ulanguzi wa tiketi, kituo cha mabasi Magufuli

Watano mbaroni kwa ulanguzi wa tiketi, kituo cha mabasi Magufuli

07 Dec 2025
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega

Ulega amsimamisha kigogo TEMESA ubadhirifu Sh bil 2.5

07 Dec 2025

Picha

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, jijini Dodoma jana.
Kitaifa

Mkutano Mkuu Maalum wa CCM katika picha

19 Jan 2025
Meneja wa Rapt Camera, Madhu Nair ( wa pili kulia), akitoa maelezo kuhusu vifaa anavyouza vya umeme ikimo machine za kuchaka juice, katika Maonyesho ya 48 ya Biashara  ya Kimataifa Dar as Salaam ( DITF), viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa jana
Kitaifa

Mashine ya kuchakata sharubati

07 Jul 2024
Askofu Mkuu Isaack Aman wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha akiongoza ibada yakuuagwa kwa miili tisa,nane ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial na mmoja wa muokoaji akitoa baraka katika miili hiyo kwa ajili ya maziko.
Kitaifa

Matukio tofauti miili tisa ya wanafunzi wa Shule ya Ghati Memorial ikiagwa Arusha

14 Apr 2024

Video

“Tukio hili ni la aibu sana kwetu wana Mbeya, waliofanya tukio hili ni watoto wetu, ni ndugu zetu na ni wenzetu, kwahiyo kila mmoja wetu anao wajibu wa kukemea matukio haya,”
Kitaifa

Simanzi kuagwa mwili wa Shyrose, serikali yaagiza wauaji wasakwe usiku na mchana

21 Sep 2025
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan
Kitaifa

Samia-"Hatuwezi kudharau mwiba kisa misumari imelala"

07 Sep 2025
Kiongozi wa Zamani wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.
Kitaifa

Zitto : CCM itolewe Ikulu, ifungiwe Makumbusho kwa heshima

06 Jul 2025
Logo

About

About Us
Terms and Conditions
Advertise with Us
Contact Us

FOLLOWS US ON

Habari

  • Kitaifa
  • Kimataifa

Biashara

Michezo

  • Soka

Makala

Maoni

  • Maoni Ya Mhariri
  • Katuni

Siasa

  • Kitaifa
  • Kimataifa

Editions

  • The Guardian
  • Nipashe
  • Nipashe Jumapili

Our networking

  • ITV -
  • Radio One -
  • East Africa Television -
  • East Africa Radio -
  • CAPITAL TV -
  • CAPITAL RADIO

© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED