Gambo amjibu Makonda sakata la Barabara Arusha

By Maulid Mmbaga , Nipashe
Published at 01:57 PM Jan 07 2025
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo.

MBUNGE wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ametoa ufafanuzi wa sakata lililoibuka jana baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda kumrushia maneno kwamba ametoa malalamiko ya kutaka kujengwa barabara ambayo imekuwa changamoto kwa wananchi huku Makonda akimkosoa kwamba suala hilo lilisha jadiliwa kwenye vikao vya ndani.