KATIBU wa Bunge, Baraka Leonard, akisoma wasifu wa Spika mstaafu Job Ndugai, amesema amefariki dunia, baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Amesema kwa mujibu wa taarifa za kitabibu marehemu Ndugai, amefariki dunia, kutokana na shinikizo la damu kushuka sana (sceptic shock) iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa (severe pneumonia).
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED