Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika mwezi Mei 2025.
Matokeo ya Kidato cha Sita ni tathmini ya mwisho inayotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kwa wanafunzi waliomaliza elimu ya sekondari ya juu.
https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/acsee/index.htm
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED