Zitto : CCM itolewe Ikulu, ifungiwe Makumbusho kwa heshima
By
Mwandishi Wetu
,
Nipashe
Published at 12:47 PM Jul 06 2025
Kiongozi wa Zamani wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.
Kiongozi wa Zamani wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameikosoa vikali Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa imeshindwa kusimamia sekta ya kilimo na kuwanyima wakulima fursa ya kunufaika ipasavyo na mazao yao.