Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana kuunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira ya kuiletea nchi maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED