Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwasili kwenye Uwanja wa Majengo, Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa ajili ya kuwahutubia wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni leo Septemba 9, 2025 mkoani Rukwa.
Baadaye Dk. Nchimbi ataelekea wilayani Mpimbwe mmoani Katavi ambapo atafanya mkutano mwingine katika eneo la Maji Moto.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED