Dk. Samia na kongani ya viwanda kila wilaya

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 03:12 PM Sep 09 2025
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan

Hivi unajua kuwa kila wilaya nchini, inatarajiwa kuwa na kongani ya viwanda, iwapo Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan atapewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania kwa kipindi cha pili?