Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan.
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa nishati ya umeme itasambazwa katika maeneo yote ili wananchi kupata huduma hiyo kwa uhakika zaidi.