Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali atakayoiunda itaendelea kuboresha sekta za maendeleo ya kijamii zikiwemo za elimu,umeme,maji na afya ili kukidhi mahitaji ya wananchi wanaongoza kila kukicha wanaongezeka katika maeneo mbalimbali.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED