Makanisa sita ya Gwajima yafungiwa Mbeya

By Nebart Msokwa , Nipashe
Published at 04:35 PM Jun 06 2025
Makanisa sita ya Gwajima yafungiwa Mbeya

Makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yamefungwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku chache baada ya Makao makuu ya Kanisa hilo kufungwa na Ofisi ya Msajili wa Asasi za Kiraia nchini kwa madai ya kukiuka taratibu.