Aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHUAMMA), Eugene Kabendera leo Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kabendera ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Aman Golugwa, makao makuu ya chama hicho, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED