Ajali ya Basi la Mvungi wengi wahofiwa kufariki Ugweno Mwanga

By Salome Kitomari , Nipashe
Published at 10:21 AM Apr 03 2025
Ajali ya Basi la Mvungi wengi wadaiwa kufariki Ugweno Mwanga

Watu wengi wamefariki dunia katika ajali ya basi la Mvungi, ambalo lilikuwa likitoka Ugweno, wilayani Mwanga kuelekea Dar es Salaam.