Hivi ndivyo polisi walivyomzuia Heche kuzungumza na wananchi wa Mbarali
By
Mwandishi Wetu
,
Nipashe
Published at 06:08 PM Mar 25 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche.
Jeshi la Polisi limezuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, kuzungumza na wananchi wa Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, leo Jumanne, Machi 25, 2025.