Daktari Bingwa Mmarekani ampa tano Dk. Samia sekta ya afya

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 04:56 PM Oct 02 2025
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan.

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan amesema hatua ya Serikali yake kuboresha huduma za afya nchini, imemshangaza Dk Steve Meyer aliyewafadhili matibabu na masomo majeruhi wa ajali ya Shule ya Lucky Vicent.