JWTZ liko imara kulinda mipaka, tumeliimarisha kwa zana za kisasa

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 07:50 PM Jun 27 2025
JWTZ liko imara kulinda mipaka, tumeliimarisha kwa zana za kisasa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema uimara na usalama wa mipaka ya Tanzania ni matokeo ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi kutimiza jukumu lake la kulinda uhuru na mipaka ya nchi.