Samia: Uzee dawa, watangulizi wangu wamekuwa msaada kufikia mafanikio

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 07:24 PM Jun 27 2025
Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia Suluhu Hassan amesema misingi imara iliyowekwa na watangulizi imemuwezesha kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kufikia mafanikio mbalimbali katika ujenzi wa Tanzania.