Tumevunja, kudhoofisha mitandao ya wauza dawa za kulevya- Samia

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 06:56 PM Jun 27 2025
Rais Samia Suluhu Hassan.

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema vita dhidi ya matumizi na wauzaji wa dawa za kulevya imekuwa na mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.