Salum Mwalimu afundisha mbinu za kumaliza umasikini
By
Elizabeth Zaya
,
Nipashe
Published at 11:27 AM Sep 29 2025
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu.
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu anavyotumia mikutano ya kampeni kutoa 'darasa' la kumaliza umasikini kwa kutumia utajiri wa rasilimali za nchi.