Dk Samia: Uteuzi Mwigulu Nchemba ulikuwa na ushindani

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 01:38 PM Nov 14 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan,amemuapisha Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, akimweleza uteuzi wake umepitia ushindani mkubwa.