Katika kusherekea maisha na urithi wa kipekee wa Dr. Reginald Mengi, tunawapa nafasi watazamaji wa channeli zetu za ITV, EATV na CAPITAL TV ya kujipatia nakala ya kitabu kilichoandikwa na Dr. Reginald Mengi.
Ni zawadi kwa washiriki 83 wa kwanza watakao scan QR code inayoonekana kwenye luninga wakati tangazo hili litakapoonekana.
Baada ya ku-SCAN QR Code, na kubonyeza link, mshiriki atafuata maelekezo atakayopewa. Kila mshiriki atajipatia nakala moja tu.
'I CAN, I MUST, I WILL' , The Spirit of Success
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED