Karua akiingia kwenye 18 zetu tumalizane naye hapa hapa

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 11:22 AM May 27 2025
Mbunge wa Pandani, Maryam Omar Said.

Mbunge wa Pandani, Maryam Omar Said, amesema "Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi."