Rais Samia aongeza mishahara ya Wafanyakazi kwa asilimia 35.1
By
Mwandishi Wetu
,
Nipashe
Published at 03:22 PM May 01 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1.