Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo, ataufufua Mkoa wa Morogoro kuwa wa viwanda.Rais Dk Samia ameyasema hayo mkoani Morogoro leo, Ijumaa Agosti 29, 2025 alipozungumza katika mwendelezo wa mikutano yake ya kampeni za urais. Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo, ataufufua Mkoa wa Morogoro kuwa wa viwanda.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED