Samia: Ole wao wanaopanga vurugu Oktoba 29

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 08:07 PM Oct 10 2025
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan.

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa, hakuna atakayeruhusiwa kuthubutu kuvuruga amani siku ya uchaguzi, akisisitiza Serikali imejipanga kukabili vitendo hivyo.