“ACT na CHADEMA wangeungana kususia uchaguzi, CCM ingefanya mabadiliko, CCM ipi?”

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 10:05 AM Jul 10 2025
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu.

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amewashangaa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wanasema Chama cha ACT Wazalendo wakiungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kususia uchaguzi Chama cha Mapinduzi (CCM) kingefanya mabadiliko.