Asanteni wana Ruangwa -Majaliwa

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 02:25 PM Jul 02 2025
Asanteni wana Ruangwa -Majaliwa

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kutogombea tena ubunge wa jimbo hilo, akihitimisha utumishi wake wa miaka 15 tangu achaguliwe mwaka 2010.