Jesca Magufuli, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Magufuli, na pia mgombea wa ubunge wa viti maalumu kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ametoa ombi kwa wananchi wa Shinyanga kumpigia kura mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED