Mlezi wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Nabii Mkuu Dk.Moses Geordavie
Mlezi wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Nabii Mkuu Dk.Moses Geordavie amesema ni muhimu viongozi wa dini kuhubiri amani na wasiwe sababu ya vurugu.