Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania imejegwa katika misingi ya amani na umoja hivyo vijana hawapaswi kushawishika kwa namna yoyote ile kuichoma nchi yao wenyewe.
"Kwa wanangu vijana wa taifa hili la Tanzania niseme kuwa nchi hii imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja sisi wazazi wenu tungeshawishika kuyafanya mliyofanya wakati huu nchi hii isinge kuwa na neema na maendeleo haya mnayoyaona.
Rais Samia amesema hayo leo bungeni jiji Dodoma, wakati akitoa hotuba yake ya kulifungua rasmi Bunge la 13.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED