Dk. Samia: Tupeni kura tuendelee kuwatumikia

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 06:52 PM Sep 03 2025
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan.

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan amesema chama chake kinapata ujasiri wa kusimama kuomba kura kwa sababu kimefanikisha maendeleo ya nchi na bado ina uwezo wa kuendelea kufanya hivyo.