Dkt. Samia: Nitajenga barabara ya mzunguko Tabora

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 06:01 PM Sep 12 2025
Dkt. Samia: Nitajenga barabara ya mzunguko Tabora.

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Samia Suluhu Hassan, amewaambia wananchi wa Tabora kuwa atajenga barabara ya mzunguko yenye urefu wa kilomita 82 ili kupunguza msongamano mkoani humo.