Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa, wananchi wamridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho.